×

Rais Rais Samia Alivyoagwa Misri Baada Ya Kumaliza Ziara -Video


RAIS Samia Suluhu Hassan, leo Novemba 12, 2021 amekamilisha siku 3 za ziara yake nchini Misri na tayari amepanda ndege kurudi nchini.

 

⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiagana na Waziri wa Nchi anaeshuhulikia masuala ya Uhamiaji na Wamisri nje ya nchi, wa Misri Mhe. Nabila Makram, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Cairo, Misri alipokua akiondoka Misri na kurejea Tanzania baada ya kuhitimisha ziara yake ya siku tatu nchini Misri leo tarehe 12 Novemba, 2021.

Rais Samia Suluhu Hassan, akitembelea Jengo jipya la Makumbusho katika mji mpya wa Serikali Cairo nchini Misri jana tarehe 11 Novemba, 2021

Leave a Comment