×

Walimu Wa Mwanafunzi Aliyefanya Mtihani Gerezani Watoa Ya Moyoni-Video

Walimu wa mwanafunzi Kunde aliyefanya mtihani akiwa gerezani mkoani Simiyu, wameeleza jinsi walivyopokea taarifa za mwanafunzi huyo kutoka jela na kutumikia kifungo cha miezi sita nje.

Leave a Comment