×

Mazungumzo ya Aina Yake Kati ya Mkurugenzi Mkuu Anayeingia na Anayetoka

MAZUNGUMZO ya aina yake kati ya Mkurugenzi Mkuu anayeingia na anayetoka, Hisham Hendi (kulia), ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania aliyemaliza muda wake akiwa katika mazungumzo na Sitholizwe Mdlalose, Mkurugenzi Mkuu mpya wa kampuni hiyo ambapo Mdlalose alichukuwa fursa kuelezea vipaumbele vyake, ikiwemo kuhakikisha uendelevu wa biashara kwa kuzingatia faida, mahusiano na wadau pamoja na utunzaji wa mazingira na tabia endelevu.

Leave a Comment