Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Januari 4, 2021 Ofisini kwake Mabibo mwisho Sheikh Sharifu amesema 2022 ni mwaka usiogawanyika upo tofauti na namba zake, Vifo vya watu mashughuli vitaongezeka tujiandae, Sanjari na yote amewataadharisha wanasiasa wenye makundi wamuache Mama Samia achape kazi nyota ya Mama imewaka na atafanya makubwa tusiyoyataraji.