×

Rais Samia Awatembelea Mzee Pinda na Mzee Malecela Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu Mzee Mizengo Pinda alipomtembelea kumjulia hali Nyumbani kwake Zuzu Mkoani Dodoma leo tarehe 15 Januari 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Januari 15, 2022 amewatembelea kuwajulia Maaziri Wakuu Wastaafu Mzee Mizengo Pinda  na Mzee John Samwel Malecela Nyumbani kwao  Jijini Dodoma .

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu Mzee John Samwel Malecela alipomtembelea kumjulia hali Nyumbani kwake Kilimani Jijini Dodoma leo tarehe 15 Januari 2022.

Leave a Comment