×

Diamond Ammwagia Q Chief Pesa Akipafomu Mlimani City -Video

Staa na Rais wa Lebo ya WCB, Diamond Platnumz usiku wa kuamkia leo amemtunza mapesa msanii Q Chief usiku wa Mahaba Ndi Ndi Ndi kwenye siku ya wapendanao katika ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.

Leave a Comment