Balozi wa Ukraine katika Baraza la Umoja wa Mataifa (UN), Sergei Kyslytsya amesoma ujumbe wa mwanajeshi wa Urusi aliyeuawa katika mapigano kati ya Urusi na Ukraine, aliyekuwa miongoni mwa askari wa Urusi waliopo vitani, aliotuma kwa mama yake, muda mfupi kabla ya kuuawa.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx