×

Waziri Mkuu Aongoza Kikao Cha Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 6 , 2022 ameongoza kikao cha Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa kilichofanyika kwenye ukumbi wa Hotel Verde, Zanzibar. Kikao hicho pia kilihudhuriwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Hemed Suleiman Abdulla ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo.

UKRAINE WAMUUA MPELELEZI ALIYEKUWA AKIWASULUHISHA NA URUSI, WAZIRI WA ULINZI AELEZA..

Leave a Comment