Rais John Magufuli akiangalia sakafu ya pili (ghorofa ya pili) ya barabara za juu (flyover) katika makutano ya Ubungo jijini Dar es Salaam wakati akielekea Mbezi-Louis kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Kituo Kikuu cha Kimataifa cha Mabasi ya Mikoani leo tarehe 08 Oktoba 2020.
RAIS John Magufuli leo Oktoba 8, 2020, leo amekagua maendeleo ya ujenzi wa barabara za juu (Ubungo Flyover) jijini Dar es Salaam.
…Akimsikiliza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) Mhandisi Patrick Mfugale wakati akiangalia mfano wa Ubungo Flyover utakavyokua baada ya kukamilika kwake.
…Akiwa na mkewe, Janeth Magufuli, na Mfugale baada ya ukaguzi huo.
…Akiwapungia mkono wananchi waliokuwa pembezoni mwa barabara hilo. PICHA NA IKULU