Vodacom Kuwaelimisha Wanafunzi wa Sekondari Dar, Kupata Maudhui ya Elimu Bure
Global Publishers March 8, 2022 0 Comments
SHARE THIS:
Mtoa huduma wa Vodacom Tanzania Foundation Walbarga Genes Massawe akiwaelekeza wanafunzi wa shule ya sekondari Azania namna ya kutumia huduma ya E- Fahamu inayowezesha wanafunzi kupata elimu kidijitali iliyoandaliwa na Asasi ya Vodacom Tanzania Foundation kwa kushirikiana na African Child Projects ambayo itaunganisha shule 50 za umma zilizoko katika mikoa 10 nchini (School Connectivity Project ).
Mtoa huduma wa Vodacom Tanzania Foundation Walbarga Genes Massawe (wapili kulia) akiwaelekeza wanafunzi wa shule ya sekondari Tambaza namna ya kutumia huduma ya E- Fahamu inayowezesha wanafunzi kupata elimu kidijitali iliyoandaliwa na Asasi ya Vodacom Tanzania Foundation kwa kushirikiana na African Child Projects ambayo itaunganisha shule 50 za umma zilizoko katika mikoa 10 nchini (School Connectivity Project ).
Mtoa huduma wa Vodacom Tanzania, Salma Juma Yusuph akiwaelekeza wanafunzi wa shule ya sekondari Jangwani namna ya kutumia huduma ya E- Fahamu inayowezesha wanafunzi kupata elimu kidijitali iliyoandaliwa na Asasi ya Vodacom Tanzania Foundation kwa kushirikiana na African Child Projects ambayo itaunganisha shule 50 za umma zilizoko katika mikoa 10 nchini (School Connectivity Project ).
Wanafunzi wa shule ya sekondari Azania wakisikiliza mafunzo ya namna ya kutumia huduma ya E-Fahamu kutoka Vodacom Tanzania Foundation.
Wanafunzi wa shule ya sekondari Tambaza wakisikiliza mafunzo ya namna ya kutumia huduma ya E-Fahamu Vodacom Tanzania Foundation