×

Siku 5, FOA ya Diamondi Yafikisha Streams Milioni 5 Boomplay

Ndani ya siku 5′ tangu ilipo achiwa rasmi EP’ ya First Of All kutoka kwa mwanamuziki Diamond Platnumz, imefanikiwa kufikisha zaidi ya streams million 5 katika mtandao huo.

Hii inamaanisha kuwa Extended Playlist hiyo yenye jumla ya mikwaju 10 imekua ikipata wastani wa streams million 1 kila siku tangu ilivyo pakiwa rasmi katika mtandao huo wa kuuza na kusimamia kazi za muziki.

KUSIKILIZA #FOA EP INGIA HAPA ==> #FOAtheEP

Leave a Comment