Kinana Akutana na Kufanya Mazungumzo na Mabalozi wa Msumbiji na Rwanda Lumumba Dar
Global Publishers April 12, 2022 0 Comments
SHARE THIS:
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana (kulia) akisalimiana na Balozi wa Msumbiji Nchini Tanzania, Ricardo Mtumbuida leo Aprili 12 2022 katika Ofisi Ndogo za CCM, Lumumba jijini Dar Es Salaam.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amekutana na kufanya Mazungumzo na Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania Mej. Jen. Charles Kalamba, Pamoja na Balozi wa Msumbiji Nchini Tanzania Mheshimiwa Ricardo Mtumbuida, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Jijini Dar es Salaam leo 12 Aprili, 2022.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Msumbiji Nchini Tanzania Mheshimiwa Ricardo Mtumbuida (kushoto) leo Aprili 12 2022, katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar Es Salaam.Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akimsindikiza /akiagana na Balozi wa Msumbiji Nchini Tanzania, Ricardo Mtumbuida (kushoto) leo Aprili 12 2022, katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar Es Salaam.Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania Mej. Jen. Charles Kalamba, leo Aprili 12 2022, katika Ofisi Ndogo za CCM, Lumumba jijini Dar Es Salaam.Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania Mej. Jen. Charles Kalamba, (kushoto) leo Aprili 12 2022, katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar Es Salaam.Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akiagana na Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania Mej. Jen. Charles Kalamba, (kushoto) leo Aprili 12 2022, katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar Es Salaam.