
Rais Samia leo Mei 27, 2022 ameridhia marekebisho ya posho ya kujikimu ya safari za ndani ya nchi kwa watumishi wa umma na kiwango cha malipo ya kazi maalum, ambapo kiwango cha juu kimepanda kutoka Tsh. 120,000/= hadi 250,000/= na kiwango cha chini toka Tsh. 80,000 hadi 100,000/=
