×

Rais Samia Aongea na Wananchi wa Biharamulo Mkoani Kagera (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi pamoja na Wananchi wa Biharamulo Stand alipowasili Mkoani Kagera kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu inayoanza tarehe 08 Juni, 2022.
Wananchi wa Biharamulo Stand wakimshangilia Rais Samia.
Rais Samia akiwasalimia wananchi Biharamulo Stand.

Leo juni 8, 2022, Rais Samia amesimama njiani Biharamulo, kuwasalimia wananchi wa eneo hilo, akiwa njiani kuelekea Kagera. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave a Comment