Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishuhudia utiaji saini wa Mikataba ya ujenzi wa miundombinu ya barabara zinazosimamiwa na Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kwa mwaka wa fedha 2022/23 leo tarehe 14 Agosti, 2022 Jijini Dodoma.