×

Rais Samia Afanya Uteuzi wa Wenyeviti wa Bodi Kuanzia Agosti 23 Mwaka Huu

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wenyeviti wa Bodi ambao uteuzi huo umeanza tangu Agosti 23, 2022.

Leave a Comment