×

Hatimaye Rais Mteule William Ruto Awasiliana na Rais Uhuru Kenyata Baada ya Kipindi Kirefu

Uhuru Kenyatta na William Samoei Ruto

NI muda ulipita tangu Rais mteule awasiliane na Uhuru Kenyata baada ya watu hao wawili kuhitirafiana kutokana na Uhuru kuamua kumsapoti mpinzani waRuto Bw.Raila Odinga.

 

Katika hotuba aliyoitoa baaada ya kuidhinishwa na mahakama kuwa rais alieleza kua wanamuda mrefu tangu awasiliane na Rais Kenyata.

Ujumbe aliouchapisha Ruto kwenye Ukurasa wa Twitter

Lakini kupitia mtandao wa twitter Bw Ruto amesema ameweza kuwasiliana na Uhuru Kenyata na kuweza kuelezana kuhusu sherehe za kimila kama jadi yao pamoja na demokrasia.

 

Imeandikwa:Dunstan Mtili Erick kwa msaada wa mitandao

Leave a Comment