×

Live: Rais Samia Anazindua Matokeo ya Mwanzo ya Sensa ya Watu na Makazi-Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anaongoza Taifa katika uzinduzi wa matokeo ya mwanzo ya Sensa ya watu na makazi mwaka 2022.

Leave a Comment