×

Rais Samia na Mwenyekiti wa CCM Aongoza Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Dodoma

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muunganio wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiimba wimbo kabla ya kuanza kwa kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, kilichofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM, Makao Makuu ya CCM (White House) jijini Dodoma.

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muunganio wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Novemba 13, 2022 ameongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, kilichofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM, Makao Makuu ya CCM (White House) jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muunganio wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiongoza kikao.
Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Chongolo akizungumza katika kikao kilichoongozwa na Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kilichofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu, Makao Makuu ya CCM (White House) jijini Dodoma.
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa katika kikao.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muunganio wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Akipitia nyaraka katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM.

Leave a Comment