
Je, wewe ni daktari au muuguzi na unavyo vigezo vilivyoelekezwa na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Ungana na Chapride Tanzania uweze kujitengezea kipato halali cha ziada hadi 2,000,000/=Tsh kwa mwezi kwa kutoa huduma ya afya katika muda wako wa ziada.
Kujiunga, tuma CV na leseni ya udaktari au uuguzi pamoja na nakala (copy) ya kitambulisho cha taifa/ kura kwenye email ifuatayo: [email protected].
Kwa maelezo zaidi
Piga simu:+255768885056.