The House of Favourite Newspapers

Breaking: Rais Samia Atengua Uteuzi wa Diwani Athumani Katibu Mkuu Ikulu

0

Rais Samia Suluhu Hassan leo Januari 5, 2023 ametengua uteuzi Kamishna Diwani Athumani Msuya aliyemteua Januari 3, 2023 kuwa Katibu Mkuu wa Ikulu.

                                      Kamishna Diwani Athumani Msuya

Aidha Rais Samia amemteua Bw Mululi Majula Mahendeka kuwa Katibu Mkuu wa Ikulu, Mahendeka alikuwa Afisa Mwandamizi Ofisi ya Rais Ikulu.

January 3, 2023, Rais Samia alimteua, Kamishna Diwani Athumani Msuya aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania kuwa Katibu Mkuu Ikulu akichukua nafasi ya Moses Kusiluka ambaye ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi.

Leave A Reply