×

Rais Samia Amteua Dkt. Said Ally Mohamed kuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani (NECTA)

Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Said Ally Mohamed kuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania, kabla ya uteuzi huu Dkt. Mohamed alikuwa ni Mkurugenzi wa Huduma za Ufundishaji, Mafunzo na Mitihani, Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.

Dkt. Said Ally Mohamed.

CHADEMA KIMEUMANA, MBOWE AELEZA ya MOYONI, RAIS SAMIA ATOA ONYO! DK SLAA ANG’AKA |FRONT PAGE

Leave a Comment