Suma Mnazareth, msanii wa kitambo wa Bongo Fleva, amemshukia Hamisa Mobeto na kueleza kwamba licha ya kuwa anapata ‘views’ nyingi Youtube kila anapotoa ngoma zake, hayupo katika orodha ya wasanii wa kike wa zuri wanaoimba vizuri Bongo.