×

Mo Dewji Apasua Jipu; Kuna Watu Ndani Ya Simba Wananikwamisha”Kwenye Usajili Tumepigwa” -Video

Mwekezaji na Rais wa Heshima wa Klabu ya Simba Mohamed Dewji ‘Mo’ amesema kuna watu ndani ya klabu hiyo wanamkwamisha kwenye mambo mbalimbali na kuongeza kuwa kama wakiendelea ipo siku atawataja majina yao hadharani.

Mo amefunguka mambo mengi ambayo ulikuwa huyajui alipofanya mahojiano ‘exclusive’ Mwandishi mahiri wa habari za michezo, @salehjembefacts

#EXCLUSIVE: ”KWENYE USAJILI TUMEPIGWA” – MO DEWJI AFUNGUKA SABABU ya KUKWAMA NUSU FAINALI | PART 3

Leave a Comment