MTANGAZAJI maarufu ambaye anamiliki Zamaradi TV, Zamaradi Mketema amezindua rasmi kituo chake cha Zamaradi TV kitakachokuwa kinapatikana kwenye visimbuzi.
Akizungumza katika uzinduzi huo, Zamaradi amesema haikuwa rahisi kutimiza ndoto zake na amepitia changamoto nyingi.