Kungwi na mwigizaji maarufu Bongo, Shekha Mattaka almaarufu amefunguka kuwa baadhi ya watu wamekuwa wakimtuhumu kwamba amemroga msanii wa Bongo Fleva, Barnabas ili amuoe mwanaye Raya na kueleza kwamba amechoshwa na tuhuma hizo.