Msanii mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Nyoshi El Saadat amesema wasanii wengi wa dansi, huwa na tamaa jambo linalosababisha wawe wanahamahama bendi na kusababisha kuudhoofisha muziki huo.