×

Siza Mazongela Wa Segere – “Mwanamke Hutakiwi Kumuambia Mume Umechoka” – Video

Msanii mkongwe wa muziki wa Taarab, Siza Mazongela aliyepata umaarufu zaidi kwa kuimba ‘Segere’, amepiga stori na Global TV kupitia #Konayamtaa ambapo amefunguka mambo mengi usiyoyajua kuhusu maisha yake na muziki.

Leave a Comment