×

Shehe Maridhawa atua Dar kuwaombea watu

2Shehe Maridhawa akiwaombea dua watu waliofika viwanja vya Nuru Yakin jana.
4Baadhi ya watu waliodhuria kwenye mkutano huo.
5Shehe Maridhawa (kulia) akizungumza na watu.
6Shehe Kindamba(wa kwanza kulia) akiombea watu.
7Baadhi ya watu waliofika hapo kwa shida mbalimbali za kuombewa.

Shehe Maridhawa atua Dar kuwaombea watu SHEHE maarufu visiwani Zanzibar na nje ya Tanzania, Salum Maridhawa, ametua Dar kwa ajili ya kuwatibu watu mbalimbali kwa kuwaombea na kuwapa mafuta ambayo yatawasaidia katika matatizo mbalimbali.

Shehe huyo ambaye anaongozana na mashehe wenzake watano, amekuwa alitoa huduma mbalimbali jana katika viwanja vya Nuru Yakin vilivyoko Temeke jijini Dar.

(NA IMELDA MTEMA/GPL)

Leave a Comment