×

Rais Samia Akiwasili Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro Akielekea Hanang

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro leo Desemba 7, 2023 tayari kuelekea Katesh wilayani Hanang kulipotokea maafa ya mafuriko makubwa. (Picha na Ikulu)

Leave a Comment