×

Wafanyakazi Wa Benki Ya Azania Walivyofika Kwenye Kilele Cha Mlima Kilimanjaro


Wafanyakazi wa Benki ya Azania wakiwa kwenye kilele cha mlima Kilimanjaro. Kundi la Wafanyakazi 22 wa Benki ya Azania lilianza kupanda Mlima Kilimanjaro siku ya jumanne tarehe 05.12.2023 na kufanikiwa kupeperusha bendera ya Benki hiyo kwenye kilele cha mlima Kilimanjaro siku ya Uhuru tarehe 09.12.2023 na kuleta chachu katika sekta ya utalii nchini.

 

Wafanyakazi wa Benki ya Azania katika picha ya pamoja na viongozi wao.   
Sehemu ya wafanyakazi wa Benki ya Azania katika safari ya kuelekea kileleni.

 

Wafanyakazi wa Benki ya Azania katika pozi la kufurahia kumaliza kilele cha Mlima Kilimanjaro.

Leave a Comment