Mkuu wa Wilaya ya Karatu Mh. Dadi Harace Kolimba amepokea misaada ya vitu mbalimbali kutoka Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo ambayo iliwasilishwa na Meneja Mauzo Kanda ya Kaskazini, Daniel Mainoya.