×

Msafara wa Balozi Dkt. Nchimbi Wasimamishwa Isuna, Ikungi

Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi na msafara wake, akiwa amesimamishwa njiani na wananchi wa eneo la Isuna, Ikungi, mkoani Singida, waliotaka azungumze nao, leo Jumatano, Mei 29, 2024, alipokuwa akitokea Manyoni kuelekea Singida mjini, ikiwa ni siku yake ya kwanza ya ziara ya siku mbili mkoani humo*

Leave a Comment