Mtoto Angel Kamugisha (6) mkazi wa Kinondoni Shamba, ambaye jana Global TV iliripoti habari zake akidaiwa kuchukuliwa shuleni alipokuwa akisoma, Shule ya Msingi Oysterbay jijini Dar na mtu asiyejulikana kisha kutokomea naye, hatimaye amepatikana.