Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan Akiwasalimia Wananchi wa Namanyere Mkoa Rukwa ikiwa ni sehemu ya Ziara yake inayoanza Mkoa huo Julai 15, 2024 ambapo alikagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo.