×

Mkurugenzi wa Wilaya ya Kibiti Atangaza Nafasi za Kazi

Three young business women and two man looking at computer screen, laughing

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti, amepokea kibali cha Ajira Mpya kutoka kwa Katibu Mkuu OR – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, chenye Kumb. Na. FA.97/288/01/09 cha tarehe 25/06/2024. Hivyo anapenda kuwatangazia Watanzania wote wenye sifa kutuma maombi kwa kada moja (01) kama ilivyoanishwa kwa
kuzingatia sifa tajwa: –

Leave a Comment