×

Ijumaa Yako Itakuwa Poa Sana Ikisindikizwa na Meridianbet

 

Beti na Meridianbet mechi za leo ambapo kwa mabingwa hawa wa ODDS KUBWA Tanzania una nafasi ya kuwa Milionea kuanzia leo. Suka jamvi lako muda huu na ubashiri kijanja.

Ligi kuu ya Ufaransa LIGUE 1 kutawaka moto vibaya mno majira ya saa mbili usiku AJ Auxerre atakiwasha dhidi ya Stade Brest 29 ambaye alishinda mchezo wake uliopita. AJ yupo nafasi ya 16 akikusanya pointi 3 kwenye michezo 5 aliyocheza huku Brest yeye akishikilia nafasi ya 11 na pointi 6. Tamba na ODDS ya  2.74 kwa 2.55. Bashiri hapa.

Baadae tutashuhudia PSG akimleta nyumbani kwake Stade Rennes huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 6 pekee. Vijana wa Enrique wanahitaji ushindi leo huku mtanange wa mwisho kukutana kwenye ligi walitoa sare. Mechi hii ina machaguo kibao. Jisajili sasa.

Je unajua kuwa una leo hii una nafasi ya kuondoka na kibunda mfukoni kwako?. ODDS KUBWA na Machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Ligi kuu ya Hispania LA LIGA inatarajiwa kurindima leo kwa mchezo mmoja huku mwenyeji Real Valladolid baada ya kupoteza mchezo wake uliopita atakipiga dhidi ya Mallorca majira ya saa nne usiku. Mechi ya mwisho kukutana walitoa sare ya kufungana. Je leo hii kwa ODDS ya 2.99 kwa 2.65 nani ataibuka mshindi?. Suka jamvi hapa.

Pia SERIE A kutakuwa na kivumbi leo AC Milan chini ya kocha mkuu Paulo Fonseca baada ya kushinda mchezo wake wa Derby, leo atamenyana na Lecce katika dimba la San Siro ambapo Milan anahitaji ushindi ili apande hadi nafasi ya kwanza kutoka ya saba. Mgeni yeye yupo nafasi ya 17 baada ya kukusanya pointi 5 pekee. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 1.35 kwa 7.84. Jisajili hapa.

Ligi ya magoli mengi kule Ujerumani yaani BUNDESLIGA leo ni Borussia Dortmund vs VFL Bochum. Dortmund ametoka kuchezea kipondo cha hatari mechi yake iliyopita, huku mgeni wake akitoa sare ya kufungana. Je vijana wa Nuri Sahin na vijana wake watapata ushindi Signal Iduna Park?. Bashiri mechi hii yenye ODDS 1.24 kwa 9.40.

Tengeneza pesa na mechi za SAUDI ARABIAN LEAGUE ambapo AL-Ittihad FC atakuwa uso kwa uso dhidi ya AL-Khaleej ambaye yupo nafasi ya 13 na mchezo uliopita ametoa sare. Timu hiyo ambayo ipo chini ya kocha mkuu Laurent Blanc wanatka kushinda leo ili wajiweke kwenye nafasi ya kuwania ubingwa. 1.24 kwa 8.82 ndio ODDS za mechi hii. Tandika jamvi lako hapa.

Wakati Al Nassr ya Ronaldo wataumana dhidi ya AL Wehda ambao msimu uliopita kwenye mechi mbili walizokutana alichapika jumla ya mabao 9-1. Timu hiyo ambayo kwasasa inanolewa na kocha mkuu Stefan Pioli wanalitaka kombe msimu huu baada ya kulikosa msimu uliopita. 1.09 kwa 14.7 ndio ODDS za mechi hii. Suka mkeka hapa.

Leave a Comment