×

Black Pass Kiziwi: Rafiki Yake Apata Ukimwi Kwa Mume Wa Mtu Baada Ya Kuachana Na Boyfriend Maskini! – Video

Mchekeshaji Black Pass amesema suala la kupangwa kwenye ‘scene’ za mapenzi huwa halimsumbui kwa sababu yupo kwenye mapenzi na mtu ambae anajielewa na kwamba wakati mwingine huwa anakuwepo ‘location’.

Leave a Comment