Kamera ya Global TV bado ipo nchini Oman ambapo leo, mwanadada huyu anayefanya kazi saluni, amesimulia jinsi alivyosafiri kutoka Tanzania na kuelekea kwenye nchi hiyo, akiwa na umri wa miaka 18 tu.