×

Sinza Star FC Yaishukuru Meridianbet

Sinza Star FC imepokea kwa furaha msaada wa mipira kutoka kwa Meridianbet, wakitoa shukrani zao za dhati kwa kampuni hiyo kwa kuunga mkono juhudi za klabu katika kukuza michezo na vipaji vya soka miongoni mwa vijana wa mtaa wa Sinza.

Akizungumza katika hafla ya kupokea msaada huo, nahodha wa Sinza Star FC alisema, wanapenda kutoa shukrani zao kwa Meridianbet kwa msaada huo wa mipira. Vifaa hivyo ni muhimu sana katika mazoezi yao ya kila siku na vitasaidia kuboresha uchezaji wa timu yao. Ni jambo la faraja kuona kwamba kampuni kubwa kama Meridianbet inatambua na kuthamini juhudi zao kama vijana wa mtaani.

Ukiachana na zoezi la ugawaji wa mipira hiyo kumbuka pia kubashiri mechi za leo za mataifa zinazoendelea. ODDS KUBWA na Machaguo zaidi ya 1000 yapo Meridianbet. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Msaada huu unalenga kusaidia timu ya Sinza Star FC kuimarisha mazoezi yao na kujiandaa vyema kwa mashindano mbalimbali ya soka. Kwa muda mrefu, timu hii imekuwa ikijitahidi kutoa nafasi kwa vijana kushiriki katika michezo na kujiepusha na vitendo hatarishi, huku ikiwapa fursa ya kukuza vipaji vyao.

Leo hii mechi kibao za mataifa zinaendelea ingia Meridianbet na usuke jamvi lako kuanzia mechi za hapa Afrika, mpaka kule Ulaya. Pesa ipo mkononi kwako leo usisubiri kuahidithiwa na mtu. Jisajili hapa.

Nancy Ingram ambaye ndiye aliongoza msafara huo wa Meridianbet, alieleza kuwa msaada huo ni sehemu ya mikakati ya kampuni hiyo kusaidia maendeleo ya jamii kupitia michezo. “Meridianbet inajivunia kuunga mkono timu za vijana kama Sinza Star FC, ambazo zinaonyesha dhamira ya dhati ya kukuza vipaji na kujenga mustakabali mzuri kwa vijana. Tunatarajia msaada huu utawezesha timu kuendelea kushiriki katika michezo na kukuza kiwango cha soka,”.

Meridianbet imekuwa mstari wa mbele katika kusaidia shughuli za kijamii, ikiwemo utoaji wa misaada kwa timu za soka za mtaani na taasisi nyingine za michezo. Kampuni hiyo inaamini kuwa kupitia msaada na uwekezaji katika michezo, vijana wengi watapata nafasi ya kuendeleza vipaji vyao na kuchangia maendeleo ya jamii.

Leave a Comment