
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan akishiriki Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Baba wa Taifa Hayati Julius Kambarage Nyerere katika Kanisa la MT. Francis Xavier Nyakahoja Mkoa wa Mwanza, leo tarehe 14 Oktoba, 2024.


