×

Rais Samia Akishiriki Ibada Ya Misa Takatifu Ya Kumbukizi Ya Hayati Julius Nyerere – (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan akishiriki Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Baba wa Taifa Hayati Julius Kambarage Nyerere katika Kanisa la MT. Francis Xavier Nyakahoja Mkoa wa Mwanza, leo tarehe 14 Oktoba, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali pamoja na waumini wa Kanisa Katoliki kwenye Ibada ya Misa Takatifu ya kumuombea Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Katoliki, Parokia ya Mtakatifu Fransisko Ksaveri- Nyakahoja Jijini Mwanza tarehe 14 Oktoba, 2024.

Leave a Comment