
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amempongeza Rais Mteule wa Marekani Donald Trump kwa kuchaguliwa tena kuwa Rais wa Nchi hiyo ambapo amemuahidi ushirikiano zaidi katika kudumisha ushirikiano kati ya Tanzania na Marekani.
Rais Samia amesema “Kwa niaba ya Serikali na Wananchi wa Tanzania nampongeza Rais Mteule wa Marekani Donald Trump kwa kushinda kwenye uchaguzi”
“Rais Mteule Trump nakutakia kila la kheri na natazamia kufanya kazi pamoja kukuza ushirikiano uliopo kati ya Tanzania na Marekani”

KAULI ya KWANZA ya KAMALA HARRIS BAADA ya KUSHINDWA – AKUBALI KUSHINDA na KUMPONGEZA DONALD TRUMP…