×

Uwoya: Sikujua Kama Kuchangisha Pesa ni Kosa Kisheria Kipindi cha Maafa


Msanii wa Sanaa ya Uigizaji nchini, Irene Uwoya amefunguka kupitia GLOBAL TV na kueleza kuwa mwanzo hakufahamu kuwa ni kosa kisheria kuchangisha pesa Kwa watu katika kipindi cha maafa.

Leave a Comment