×

Mtumishi TRA Aliyeshambuliwa Akidhaniwa Mtekaji Afariki Dunia-Video


Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa taarifa kuwa mmoja kati ya wafanyakazi wake walioshambuliwa katika tukio lililotokea Tegeta jijini Dar es Salaam, Amani Simbayao amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam.

Leave a Comment