×

Kiungo mshambuliaji Deus Kaseke Atambulishwa Pamba Jiji

Siku chache kabla ya ya kufunguliwa kwa dirisha dogo la usajili hapo Desemba 15, 2024, klabu ya Pamba Jiji Fc almaarufu TP Lindanda imemtambulisha rasmi kiungo mshambuliaji Deus Kaseke kama mchezaji wao mpya.

MZEE YUSUF AANDIKA HISTORIA DAR – AKICHAFUA na MALKIA wa MIPASHO KHADIJA KOPA…

Leave a Comment