Afisa habari wa klabu ya Simba SC, Ahmed Ally amefunguka kupitia Global TV na kueleza kuwa, Timu inaendelea na maandalizi na wachezaji waliokuwa na majeraha kama Yusuph Kagoma na Abdullazack Hamza wameanza mazoezi na timu.