×

Kifo Cha Ulomi Familia Yatoa Neno Zito, Kaka’ake Ni Afisa Polisi – Video


Msemaji wa familia ya mfanyabiashara Daisle Ulomi ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko ameeleza jinsi walivyoupokea msiba wa mpendwa wao na kueleza kuwa wamezipokea taarifa kutoka Jeshi la Polisi kuwa ndugu yao amefariki dunia kwa ajali ya pikipiki.

Leave a Comment