×

Baba’ake Kibonde Afariki Dunia Ghafla Mkewe Akiwa ICU, Mwanaye Aeleza – Video

Mtoto wa marehemu Mzee Kibonde, Sarah Kibonde amefunguka kupitia Global TV na kuelezea chanzo cha umauti wa Baba yake Mzee Kibonde kilichotokea Desemba 22, 2024.

Leave a Comment