×

Kipa Wa Yanga Abdutwalib Mshery, Afunga Ndoa – Picha

Kipa wa klabu ya Yanga, Abdutwalib Mshery, amefunga ndoa leo Dar es Salaam, Februari 25, 2025  sherehe iliyohudhuriwa na familia, marafiki, pamoja na timu yake akiwemo Rais wa Yanga SC na baadhi ya wachezaji wa timu hiyo.

Ukurasa rasmi wa Young Africans SC Instagram ulitangaza:

“Hongera sana Golilkipa wetu @_mshery kwa Kufunga Ndoa siku ya leo, Tunakutakia kila la heri.”